Native Bible

Job 30:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wananijia kama watu wapitao katika ufa mpana; katikati ya magofu huja na kunishambulia.

Job 30:14 in English

Job 30:14 · Berean Standard Bible

They advance as through a wide breach; through the ruins they keep rolling in.

Context

12Kuume kwangu kundi linashambulia; wao huitegea miguu yangu tanzi, na kunizingira. 13Huizuia njia yangu, nao hufanikiwa katika kuniletea maafa, nami sina yeyote wa kunisaidia. 14Wananijia kama watu wapitao katika ufa mpana; katikati ya magofu huja na kunishambulia. 15Vitisho vimenifunika; heshima yangu imetoweshwa kama kwa upepo, salama yangu imetoweka kama wingu. 16“Sasa maisha yangu yamefikia mwisho; siku za mateso zimenikamata.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.