Native Bible

Job 30:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuume kwangu kundi linashambulia; wao huitegea miguu yangu tanzi, na kunizingira.

Job 30:12 in English

Job 30:12 · Berean Standard Bible

The rabble arises at my right; they lay snares for my feet and build siege ramps against me.

Context

10Wananichukia sana na kujitenga nami, wala hawasiti kunitemea mate usoni. 11Sasa kwa kuwa Mungu ameilegeza kamba ya upinde wangu na kunitesa, wamekuwa huru kunitendea waonavyo. 12Kuume kwangu kundi linashambulia; wao huitegea miguu yangu tanzi, na kunizingira. 13Huizuia njia yangu, nao hufanikiwa katika kuniletea maafa, nami sina yeyote wa kunisaidia. 14Wananijia kama watu wapitao katika ufa mpana; katikati ya magofu huja na kunishambulia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.