Native Bible

Job 30:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sasa kwa kuwa Mungu ameilegeza kamba ya upinde wangu na kunitesa, wamekuwa huru kunitendea waonavyo.

Job 30:11 in English

Job 30:11 · Berean Standard Bible

Because God has unstrung my bow and afflicted me, they have cast off restraint * in my presence.

Context

9“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo; nimekuwa kitu cha dhihaka kwao. 10Wananichukia sana na kujitenga nami, wala hawasiti kunitemea mate usoni. 11Sasa kwa kuwa Mungu ameilegeza kamba ya upinde wangu na kunitesa, wamekuwa huru kunitendea waonavyo. 12Kuume kwangu kundi linashambulia; wao huitegea miguu yangu tanzi, na kunizingira. 13Huizuia njia yangu, nao hufanikiwa katika kuniletea maafa, nami sina yeyote wa kunisaidia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.