Native Bible

Job 30:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huizuia njia yangu, nao hufanikiwa katika kuniletea maafa, nami sina yeyote wa kunisaidia.

Job 30:13 in English

Job 30:13 · Berean Standard Bible

They tear up my path; they profit from my destruction, with no one to restrain them.*

Context

11Sasa kwa kuwa Mungu ameilegeza kamba ya upinde wangu na kunitesa, wamekuwa huru kunitendea waonavyo. 12Kuume kwangu kundi linashambulia; wao huitegea miguu yangu tanzi, na kunizingira. 13Huizuia njia yangu, nao hufanikiwa katika kuniletea maafa, nami sina yeyote wa kunisaidia. 14Wananijia kama watu wapitao katika ufa mpana; katikati ya magofu huja na kunishambulia. 15Vitisho vimenifunika; heshima yangu imetoweshwa kama kwa upepo, salama yangu imetoweka kama wingu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.