Ayubu 30:15
Job 30:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vitisho vimenifunika; heshima yangu imetoweshwa kama kwa upepo, salama yangu imetoweka kama wingu.
Job 30:15 in English
Job 30:15 · Berean Standard Bible
Terrors are turned loose against me; they drive away my dignity as by the wind, and my prosperity has passed like a cloud.
Context
13Huizuia njia yangu,
nao hufanikiwa katika kuniletea maafa,
nami sina yeyote wa kunisaidia. 14Wananijia kama watu wapitao katika ufa mpana;
katikati ya magofu huja na kunishambulia. 15Vitisho vimenifunika;
heshima yangu imetoweshwa kama kwa upepo,
salama yangu imetoweka kama wingu. 16“Sasa maisha yangu yamefikia mwisho;
siku za mateso zimenikamata. 17Usiku mifupa yangu inachoma;
maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.