Native Bible

Job 30:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo; nimekuwa kitu cha dhihaka kwao.

Job 30:9 in English

Job 30:9 · Berean Standard Bible

And now they mock me in song; I have become a byword among them.

Context

7Kwenye vichaka walilia kama punda, na walijisongasonga pamoja kwenye vichaka. 8Wao ni watoto wa wapumbavu wenye asili ya ubaya, waliofukuzwa watoke katika nchi. 9“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo; nimekuwa kitu cha dhihaka kwao. 10Wananichukia sana na kujitenga nami, wala hawasiti kunitemea mate usoni. 11Sasa kwa kuwa Mungu ameilegeza kamba ya upinde wangu na kunitesa, wamekuwa huru kunitendea waonavyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.