Native Bible

Job 30:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwenye vichaka walilia kama punda, na walijisongasonga pamoja kwenye vichaka.

Job 30:7 in English

Job 30:7 · Berean Standard Bible

They cried out among the shrubs and huddled beneath the nettles.

Context

5Walifukuzwa mbali na watu wao, wakipigiwa kelele kama wevi. 6Walilazimika kuishi katika mikondo ya vijito vilivyokauka, kwenye majabali na mahandaki. 7Kwenye vichaka walilia kama punda, na walijisongasonga pamoja kwenye vichaka. 8Wao ni watoto wa wapumbavu wenye asili ya ubaya, waliofukuzwa watoke katika nchi. 9“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo; nimekuwa kitu cha dhihaka kwao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.