Ayubu 30:5
Job 30:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walifukuzwa mbali na watu wao, wakipigiwa kelele kama wevi.
Job 30:5 in English
Job 30:5 · Berean Standard Bible
They were banished from among men, shouted down like thieves,
Context
3Wakiwa wamekonda kutokana na kupungukiwa na kwa njaa,
walizurura usiku katika nchi kame iliyo ukiwa. 4Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi,
nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio. 5Walifukuzwa mbali na watu wao,
wakipigiwa kelele kama wevi. 6Walilazimika kuishi katika mikondo ya vijito vilivyokauka,
kwenye majabali na mahandaki. 7Kwenye vichaka walilia kama punda,
na walijisongasonga pamoja kwenye vichaka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.