Native Bible

Job 30:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio.

Job 30:4 in English

Job 30:4 · Berean Standard Bible

They plucked mallow among the shrubs, and the roots of the broom tree were their food.*

Context

2Nguvu za mikono yao zingekuwa na faida gani kwangu, kwa kuwa nguvu zao zilikuwa zimewaishia? 3Wakiwa wamekonda kutokana na kupungukiwa na kwa njaa, walizurura usiku katika nchi kame iliyo ukiwa. 4Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio. 5Walifukuzwa mbali na watu wao, wakipigiwa kelele kama wevi. 6Walilazimika kuishi katika mikondo ya vijito vilivyokauka, kwenye majabali na mahandaki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.