Native Bible

Job 30:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walilazimika kuishi katika mikondo ya vijito vilivyokauka, kwenye majabali na mahandaki.

Job 30:6 in English

Job 30:6 · Berean Standard Bible

so that they lived on the slopes of the wadis, among the rocks and in holes in the ground.

Context

4Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio. 5Walifukuzwa mbali na watu wao, wakipigiwa kelele kama wevi. 6Walilazimika kuishi katika mikondo ya vijito vilivyokauka, kwenye majabali na mahandaki. 7Kwenye vichaka walilia kama punda, na walijisongasonga pamoja kwenye vichaka. 8Wao ni watoto wa wapumbavu wenye asili ya ubaya, waliofukuzwa watoke katika nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.