Native Bible

Job 30:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wao ni watoto wa wapumbavu wenye asili ya ubaya, waliofukuzwa watoke katika nchi.

Job 30:8 in English

Job 30:8 · Berean Standard Bible

A senseless and nameless brood, they were driven off the land.

Context

6Walilazimika kuishi katika mikondo ya vijito vilivyokauka, kwenye majabali na mahandaki. 7Kwenye vichaka walilia kama punda, na walijisongasonga pamoja kwenye vichaka. 8Wao ni watoto wa wapumbavu wenye asili ya ubaya, waliofukuzwa watoke katika nchi. 9“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo; nimekuwa kitu cha dhihaka kwao. 10Wananichukia sana na kujitenga nami, wala hawasiti kunitemea mate usoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.