Ayubu 30:10
Job 30:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wananichukia sana na kujitenga nami, wala hawasiti kunitemea mate usoni.
Job 30:10 in English
Job 30:10 · Berean Standard Bible
They abhor me and keep far from me; they do not hesitate to spit in my face.
Context
8Wao ni watoto wa wapumbavu wenye asili ya ubaya,
waliofukuzwa watoke katika nchi. 9“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo;
nimekuwa kitu cha dhihaka kwao. 10Wananichukia sana na kujitenga nami,
wala hawasiti kunitemea mate usoni. 11Sasa kwa kuwa Mungu ameilegeza kamba ya upinde wangu na kunitesa,
wamekuwa huru kunitendea waonavyo. 12Kuume kwangu kundi linashambulia;
wao huitegea miguu yangu tanzi,
na kunizingira.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.