Native Bible

Job 30:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye amenitupa kwenye matope, nami nimekuwa kama mavumbi na majivu.

Job 30:19 in English

Job 30:19 · Berean Standard Bible

He throws me into the mud, and I have become like dust and ashes.

Context

17Usiku mifupa yangu inachoma; maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe. 18Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo; hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu. 19Yeye amenitupa kwenye matope, nami nimekuwa kama mavumbi na majivu. 20“Ee Bwana, ninakulilia wewe lakini hunijibu; ninasimama, nawe unanitazama tu. 21Wewe unanigeukia bila huruma; unanishambulia kwa nguvu za mkono wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.