Native Bible

Job 30:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe unanigeukia bila huruma; unanishambulia kwa nguvu za mkono wako.

Job 30:21 in English

Job 30:21 · Berean Standard Bible

You have ruthlessly turned on me; You oppose me with Your strong hand.

Context

19Yeye amenitupa kwenye matope, nami nimekuwa kama mavumbi na majivu. 20“Ee Bwana, ninakulilia wewe lakini hunijibu; ninasimama, nawe unanitazama tu. 21Wewe unanigeukia bila huruma; unanishambulia kwa nguvu za mkono wako. 22Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo; umenirusha huku na huko kwenye dhoruba kali. 23Ninajua utanileta mpaka kifoni, mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.