Ayubu 30:23
Job 30:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninajua utanileta mpaka kifoni, mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa.
Job 30:23 in English
Job 30:23 · Berean Standard Bible
Yes, I know that You will bring me down to death, to the place appointed for all the living.
Context
21Wewe unanigeukia bila huruma;
unanishambulia kwa nguvu za mkono wako. 22Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo;
umenirusha huku na huko kwenye dhoruba kali. 23Ninajua utanileta mpaka kifoni,
mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa. 24“Hakika hakuna yeyote amshambuliaye mhitaji,
anapoomba msaada katika shida yake. 25Je, sikulia kwa ajili ya wale waliokuwa katika taabu?
Je, nafsi yangu haikusononeka kwa ajili ya maskini?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.