Native Bible

Job 30:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, sikulia kwa ajili ya wale waliokuwa katika taabu? Je, nafsi yangu haikusononeka kwa ajili ya maskini?

Job 30:25 in English

Job 30:25 · Berean Standard Bible

Have I not wept for those in trouble? Has my soul not grieved for the needy?

Context

23Ninajua utanileta mpaka kifoni, mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa. 24“Hakika hakuna yeyote amshambuliaye mhitaji, anapoomba msaada katika shida yake. 25Je, sikulia kwa ajili ya wale waliokuwa katika taabu? Je, nafsi yangu haikusononeka kwa ajili ya maskini? 26Lakini nilipotazamia mema, mabaya yalinijia; nilipotafuta nuru, ndipo giza lilipokuja. 27Kusukwasukwa ndani yangu kamwe hakutulii; siku za mateso zinanikabili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.