Native Bible

Job 3:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea na matiti ili nipate kunyonyeshwa?

Job 3:12 in English

Job 3:12 · Berean Standard Bible

Why were there knees to receive me, and breasts that I should be nursed?

Context

10kwa sababu huo usiku haukunifungia mlango wa tumbo la mama yangu, ili kuyaficha macho yangu kutokana na taabu. 11“Kwa nini sikuangamia wakati wa kuzaliwa? Kwa nini sikufa nilipokuwa ninatoka tumboni? 12Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea na matiti ili nipate kunyonyeshwa? 13Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. Ningekuwa nimelala na kupumzika 14pamoja na wafalme na washauri wa dunia, waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.