Native Bible

Job 3:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. Ningekuwa nimelala na kupumzika

Job 3:13 in English

Job 3:13 · Berean Standard Bible

For now I would be lying down in peace; I would be asleep and at rest

Context

11“Kwa nini sikuangamia wakati wa kuzaliwa? Kwa nini sikufa nilipokuwa ninatoka tumboni? 12Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea na matiti ili nipate kunyonyeshwa? 13Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. Ningekuwa nimelala na kupumzika 14pamoja na wafalme na washauri wa dunia, waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu, 15pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu, waliozijaza nyumba zao kwa fedha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.