Ayubu 3:15
Job 3:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu, waliozijaza nyumba zao kwa fedha.
Job 3:15 in English
Job 3:15 · Berean Standard Bible
or with princes who had gold, who filled their houses with silver.
Context
13Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani.
Ningekuwa nimelala na kupumzika 14pamoja na wafalme na washauri wa dunia,
waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu, 15pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu,
waliozijaza nyumba zao kwa fedha. 16Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu,
kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? 17Huko waovu huacha kusumbua
na huko waliochoka hupumzika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.