Native Bible

Job 3:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga?

Job 3:16 in English

Job 3:16 · Berean Standard Bible

Or why was I not hidden like a stillborn child, like an infant who never sees daylight?

Context

14pamoja na wafalme na washauri wa dunia, waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu, 15pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu, waliozijaza nyumba zao kwa fedha. 16Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? 17Huko waovu huacha kusumbua na huko waliochoka hupumzika. 18Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.