Native Bible

Job 3:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa.

Job 3:18 in English

Job 3:18 · Berean Standard Bible

The captives enjoy their ease; they do not hear the voice of the oppressor.

Context

16Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? 17Huko waovu huacha kusumbua na huko waliochoka hupumzika. 18Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa. 19Wadogo na wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake. 20“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, na hao wenye uchungu kupewa uhai,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.