Native Bible

Job 3:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, na hao wenye uchungu kupewa uhai,

Job 3:20 in English

Job 3:20 · Berean Standard Bible

Why is light given to the miserable, and life to the bitter of soul,

Context

18Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa. 19Wadogo na wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake. 20“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, na hao wenye uchungu kupewa uhai, 21wale wanaotamani kifo ambacho hakiji, wale watafutao kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa, 22ambao hujawa na furaha, na hushangilia wafikapo kaburini?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.