Ayubu 3:19
Job 3:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wadogo na wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake.
Job 3:19 in English
Job 3:19 · Berean Standard Bible
Both small and great are there, and the slave is freed from his master.
Context
17Huko waovu huacha kusumbua
na huko waliochoka hupumzika. 18Wafungwa nao hufurahia utulivu wao,
hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa. 19Wadogo na wakubwa wamo humo,
na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake. 20“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni,
na hao wenye uchungu kupewa uhai, 21wale wanaotamani kifo ambacho hakiji,
wale watafutao kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.