Native Bible

Job 3:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huko waovu huacha kusumbua na huko waliochoka hupumzika.

Job 3:17 in English

Job 3:17 · Berean Standard Bible

There the wicked cease from raging, and there the weary find rest.

Context

15pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu, waliozijaza nyumba zao kwa fedha. 16Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? 17Huko waovu huacha kusumbua na huko waliochoka hupumzika. 18Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa. 19Wadogo na wakubwa wamo humo, na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.