Native Bible

Job 3:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ambao hujawa na furaha, na hushangilia wafikapo kaburini?

Job 3:22 in English

Job 3:22 · Berean Standard Bible

who rejoice and greatly exult when they can find the grave?

Context

20“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, na hao wenye uchungu kupewa uhai, 21wale wanaotamani kifo ambacho hakiji, wale watafutao kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa, 22ambao hujawa na furaha, na hushangilia wafikapo kaburini? 23Kwa nini uhai hupewa mtu ambaye njia yake imefichika, ambaye Mungu amemzungushia boma? 24Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; kusononeka kwangu kunamwagika kama maji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.