Native Bible

Job 3:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

pamoja na wafalme na washauri wa dunia, waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu,

Job 3:14 in English

Job 3:14 · Berean Standard Bible

with kings and counselors of the earth, who built for themselves cities now in ruins,

Context

12Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea na matiti ili nipate kunyonyeshwa? 13Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. Ningekuwa nimelala na kupumzika 14pamoja na wafalme na washauri wa dunia, waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu, 15pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu, waliozijaza nyumba zao kwa fedha. 16Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.