Native Bible

Job 3:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kwa nini sikuangamia wakati wa kuzaliwa? Kwa nini sikufa nilipokuwa ninatoka tumboni?

Job 3:11 in English

Job 3:11 · Berean Standard Bible

Why did I not perish at birth; why did I not die as I came from the womb?

Context

9Nyota zake za alfajiri na ziwe giza; nao ungojee mwanga bila mafanikio, wala usiuone mwonzi wa kwanza wa mapambazuko, 10kwa sababu huo usiku haukunifungia mlango wa tumbo la mama yangu, ili kuyaficha macho yangu kutokana na taabu. 11“Kwa nini sikuangamia wakati wa kuzaliwa? Kwa nini sikufa nilipokuwa ninatoka tumboni? 12Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea na matiti ili nipate kunyonyeshwa? 13Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. Ningekuwa nimelala na kupumzika

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.