Ayubu 3:10
Job 3:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa sababu huo usiku haukunifungia mlango wa tumbo la mama yangu, ili kuyaficha macho yangu kutokana na taabu.
Job 3:10 in English
Job 3:10 · Berean Standard Bible
For that night did not shut the doors of the womb to hide the sorrow from my eyes.
Context
8Wale wazilaanio siku wailaani hiyo siku,
wale walio tayari kumwamsha Lewiathani.* 9Nyota zake za alfajiri na ziwe giza;
nao ungojee mwanga bila mafanikio,
wala usiuone mwonzi wa kwanza
wa mapambazuko, 10kwa sababu huo usiku haukunifungia
mlango wa tumbo la mama yangu,
ili kuyaficha macho yangu
kutokana na taabu. 11“Kwa nini sikuangamia wakati wa kuzaliwa?
Kwa nini sikufa nilipokuwa ninatoka tumboni? 12Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea
na matiti ili nipate kunyonyeshwa?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.