Ayubu 3:8
Job 3:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale wazilaanio siku wailaani hiyo siku, wale walio tayari kumwamsha Lewiathani.*
Job 3:8 in English
Job 3:8 · Berean Standard Bible
May it be cursed by those who curse the day *— those prepared to rouse Leviathan.
Context
6Usiku ule na ushikwe na giza kuu;
usihesabiwe katika siku za mwaka,
wala usihesabiwe katika siku za mwezi wowote. 7Usiku ule na uwe tasa;
sauti ya furaha na isisikike ndani yake. 8Wale wazilaanio siku wailaani hiyo siku,
wale walio tayari kumwamsha Lewiathani.* 9Nyota zake za alfajiri na ziwe giza;
nao ungojee mwanga bila mafanikio,
wala usiuone mwonzi wa kwanza
wa mapambazuko, 10kwa sababu huo usiku haukunifungia
mlango wa tumbo la mama yangu,
ili kuyaficha macho yangu
kutokana na taabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.