Native Bible

Job 3:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nyota zake za alfajiri na ziwe giza; nao ungojee mwanga bila mafanikio, wala usiuone mwonzi wa kwanza wa mapambazuko,

Job 3:9 in English

Job 3:9 · Berean Standard Bible

May its morning stars grow dark; may it wait in vain for daylight; may it not see the breaking of dawn.

Context

7Usiku ule na uwe tasa; sauti ya furaha na isisikike ndani yake. 8Wale wazilaanio siku wailaani hiyo siku, wale walio tayari kumwamsha Lewiathani.* 9Nyota zake za alfajiri na ziwe giza; nao ungojee mwanga bila mafanikio, wala usiuone mwonzi wa kwanza wa mapambazuko, 10kwa sababu huo usiku haukunifungia mlango wa tumbo la mama yangu, ili kuyaficha macho yangu kutokana na taabu. 11“Kwa nini sikuangamia wakati wa kuzaliwa? Kwa nini sikufa nilipokuwa ninatoka tumboni?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.