Native Bible

Job 29:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakati taa yake iliniangazia kichwani changu, na kwa mwanga wake Mungu nikapita katikati ya giza!

Job 29:3 in English

Job 29:3 · Berean Standard Bible

when His lamp shone above my head, and by His light I walked through the darkness,

Context

1Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: 2“Tazama jinsi ninavyoitamani miezi iliyopita, zile siku ambazo Mungu alikuwa akinilinda, 3wakati taa yake iliniangazia kichwani changu, na kwa mwanga wake Mungu nikapita katikati ya giza! 4Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, wakati urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu, 5wakati Mwenyezi alikuwa pamoja nami, nao watoto wangu walikuwa wamenizunguka,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.