Native Bible

Job 29:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakati Mwenyezi alikuwa pamoja nami, nao watoto wangu walikuwa wamenizunguka,

Job 29:5 in English

Job 29:5 · Berean Standard Bible

when the Almighty was still with me and my children were around me,

Context

3wakati taa yake iliniangazia kichwani changu, na kwa mwanga wake Mungu nikapita katikati ya giza! 4Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, wakati urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu, 5wakati Mwenyezi alikuwa pamoja nami, nao watoto wangu walikuwa wamenizunguka, 6wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi, nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni. 7“Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji na kuketi katika kiwanja,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.