Native Bible

Job 29:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji na kuketi katika kiwanja,

Job 29:7 in English

Job 29:7 · Berean Standard Bible

When I went out to the city gate and took my seat in the public square,

Context

5wakati Mwenyezi alikuwa pamoja nami, nao watoto wangu walikuwa wamenizunguka, 6wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi, nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni. 7“Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji na kuketi katika kiwanja, 8vijana waliniona wakakaa kando, nao wazee walioketi wakasimama; 9wakuu wakaacha kuzungumza na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.