Ayubu 29:9
Job 29:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wakuu wakaacha kuzungumza na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao;
Job 29:9 in English
Job 29:9 · Berean Standard Bible
The princes refrained from speaking and covered their mouths with their hands.
Context
7“Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji
na kuketi katika kiwanja, 8vijana waliniona wakakaa kando,
nao wazee walioketi wakasimama; 9wakuu wakaacha kuzungumza
na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao; 10wenye vyeo wakanyamazishwa,
nazo ndimi zao zikagandamana na makaakaa ya vinywa vyao. 11Yeyote aliyenisikia alinena mema juu yangu,
nao walioniona walinisifu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.