Native Bible

Job 29:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wenye vyeo wakanyamazishwa, nazo ndimi zao zikagandamana na makaakaa ya vinywa vyao.

Job 29:10 in English

Job 29:10 · Berean Standard Bible

The voices of the nobles were hushed, and their tongues stuck to the roofs of their mouths.

Context

8vijana waliniona wakakaa kando, nao wazee walioketi wakasimama; 9wakuu wakaacha kuzungumza na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao; 10wenye vyeo wakanyamazishwa, nazo ndimi zao zikagandamana na makaakaa ya vinywa vyao. 11Yeyote aliyenisikia alinena mema juu yangu, nao walioniona walinisifu, 12kwa sababu nilimwokoa maskini aliyeomba msaada, naye yatima aliyekuwa hana wa kumsaidia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.