Ayubu 29:8
Job 29:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
vijana waliniona wakakaa kando, nao wazee walioketi wakasimama;
Job 29:8 in English
Job 29:8 · Berean Standard Bible
the young men saw me and withdrew, and the old men rose to their feet.
Context
6wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi,
nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni. 7“Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji
na kuketi katika kiwanja, 8vijana waliniona wakakaa kando,
nao wazee walioketi wakasimama; 9wakuu wakaacha kuzungumza
na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao; 10wenye vyeo wakanyamazishwa,
nazo ndimi zao zikagandamana na makaakaa ya vinywa vyao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.