Native Bible

Job 29:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi, nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni.

Job 29:6 in English

Job 29:6 · Berean Standard Bible

when my steps were bathed in cream and the rock poured out for me streams of oil!

Context

4Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, wakati urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu, 5wakati Mwenyezi alikuwa pamoja nami, nao watoto wangu walikuwa wamenizunguka, 6wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi, nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni. 7“Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji na kuketi katika kiwanja, 8vijana waliniona wakakaa kando, nao wazee walioketi wakasimama;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.