Ayubu 29:2
Job 29:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Tazama jinsi ninavyoitamani miezi iliyopita, zile siku ambazo Mungu alikuwa akinilinda,
Job 29:2 in English
Job 29:2 · Berean Standard Bible
“How I long for the months gone by, for the days when God watched over me,
Context
1Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: 2“Tazama jinsi ninavyoitamani miezi iliyopita,
zile siku ambazo Mungu alikuwa akinilinda, 3wakati taa yake iliniangazia kichwani changu,
na kwa mwanga wake Mungu nikapita katikati ya giza! 4Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu,
wakati urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.