Native Bible

Job 29:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema:

Job 29:1 in English

Job 29:1 · Berean Standard Bible

And Job continued his discourse:

Context

1Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: 2“Tazama jinsi ninavyoitamani miezi iliyopita, zile siku ambazo Mungu alikuwa akinilinda, 3wakati taa yake iliniangazia kichwani changu, na kwa mwanga wake Mungu nikapita katikati ya giza!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.