Native Bible

Job 28:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani.

Job 28:21 in English

Job 28:21 · Berean Standard Bible

It is hidden from the eyes of every living thing and concealed from the birds of the air.

Context

19Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi. 20“Ni wapi basi hekima itokako? Ufahamu hukaa wapi? 21Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani. 22Uharibifu na Mauti husema, ‘Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu.’ 23Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.