Native Bible

Job 28:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uharibifu na Mauti husema, ‘Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu.’

Job 28:22 in English

Job 28:22 · Berean Standard Bible

Abaddon * and Death say, ‘We have heard a rumor about it.’

Context

20“Ni wapi basi hekima itokako? Ufahamu hukaa wapi? 21Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani. 22Uharibifu na Mauti husema, ‘Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu.’ 23Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa, 24kwa maana yeye huitazama miisho ya dunia na huona kila kitu chini ya mbingu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.