Native Bible

Job 28:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ni wapi basi hekima itokako? Ufahamu hukaa wapi?

Job 28:20 in English

Job 28:20 · Berean Standard Bible

From where then does wisdom come, and where does understanding dwell?

Context

18Marijani na yaspi hazistahili kutajwa; thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu. 19Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi. 20“Ni wapi basi hekima itokako? Ufahamu hukaa wapi? 21Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani. 22Uharibifu na Mauti husema, ‘Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.