Ayubu 28:18
Job 28:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Marijani na yaspi hazistahili kutajwa; thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu.
Job 28:18 in English
Job 28:18 · Berean Standard Bible
Coral and quartz are unworthy of mention; the price of wisdom is beyond rubies.
Context
16Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu ya Ofiri,
kwa shohamu ya thamani kubwa au yakuti samawi ya thamani kubwa. 17Dhahabu wala mawe maangavu haviwezi kulinganishwa nayo,
wala haiwezi hubadilishwa na vito vya dhahabu. 18Marijani na yaspi hazistahili kutajwa;
thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu. 19Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo,
wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi. 20“Ni wapi basi hekima itokako?
Ufahamu hukaa wapi?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.