Ayubu 28:19
Job 28:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi.
Job 28:19 in English
Job 28:19 · Berean Standard Bible
Topaz from Cush * cannot compare to it, nor can it be valued in pure gold.
Context
17Dhahabu wala mawe maangavu haviwezi kulinganishwa nayo,
wala haiwezi hubadilishwa na vito vya dhahabu. 18Marijani na yaspi hazistahili kutajwa;
thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu. 19Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo,
wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi. 20“Ni wapi basi hekima itokako?
Ufahamu hukaa wapi? 21Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai,
imesitiriwa hata kwa ndege wa angani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.