Ayubu 28:23
Job 28:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa,
Job 28:23 in English
Job 28:23 · Berean Standard Bible
But God understands its way, and He knows its place.
Context
21Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai,
imesitiriwa hata kwa ndege wa angani. 22Uharibifu na Mauti husema,
‘Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu.’ 23Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima
na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa, 24kwa maana yeye huitazama miisho ya dunia
na huona kila kitu chini ya mbingu. 25Alipofanyiza nguvu za upepo
na kuyapima maji,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.