Ayubu 28:25
Job 28:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alipofanyiza nguvu za upepo na kuyapima maji,
Job 28:25 in English
Job 28:25 · Berean Standard Bible
When God fixed the weight of the wind and measured out the waters,
Context
23Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima
na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa, 24kwa maana yeye huitazama miisho ya dunia
na huona kila kitu chini ya mbingu. 25Alipofanyiza nguvu za upepo
na kuyapima maji, 26alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua
na njia kwa ajili ya umeme wa radi, 27ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake,
akaithibitisha na kuihakikisha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.