Native Bible

Job 28:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua na njia kwa ajili ya umeme wa radi,

Job 28:26 in English

Job 28:26 · Berean Standard Bible

when He set a limit for the rain and a path for the thunderbolt,

Context

24kwa maana yeye huitazama miisho ya dunia na huona kila kitu chini ya mbingu. 25Alipofanyiza nguvu za upepo na kuyapima maji, 26alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua na njia kwa ajili ya umeme wa radi, 27ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha. 28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.