Native Bible

Job 28:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha.

Job 28:27 in English

Job 28:27 · Berean Standard Bible

then He looked at wisdom and appraised it; He established it and searched it out.

Context

25Alipofanyiza nguvu za upepo na kuyapima maji, 26alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua na njia kwa ajili ya umeme wa radi, 27ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha. 28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.