Ayubu 28:13
Job 28:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanadamu hatambui thamani yake; haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai.
Job 28:13 in English
Job 28:13 · Berean Standard Bible
No man can know its value, nor is it found in the land of the living.
Context
11Hutafuta vyanzo vya mito
na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru. 12“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi?
Ufahamu unakaa wapi? 13Mwanadamu hatambui thamani yake;
haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai. 14Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’;
bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’ 15Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi kuliko zote,
wala thamani yake haiwezi kupimwa kwa fedha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.