Ayubu 28:12
Job 28:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? Ufahamu unakaa wapi?
Job 28:12 in English
Job 28:12 · Berean Standard Bible
But where can wisdom be found, and where does understanding dwell?
Context
10Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba;
macho yake huona hazina zake zote. 11Hutafuta vyanzo vya mito
na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru. 12“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi?
Ufahamu unakaa wapi? 13Mwanadamu hatambui thamani yake;
haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai. 14Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’;
bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.